We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.

Omoghaka wa Nguru (Mighty Father God)

by Steven Chuchu

/
  • Streaming + Download

    Includes high-quality download in MP3, FLAC and more. Paying supporters also get unlimited streaming via the free Bandcamp app.
    Purchasable with gift card

      name your price

     

about

This track is what we call Kuria Gospel music; acoustic Kuria instruments in the Kuria language in Tanzania, East Africa. You're hearing the Kuria language, and a translation into Swahili and English is provided. This song encourages everyone to praise God, our mighty Father.

lyrics

Mzee wenye Nguvu (Mighty Father God)

Maneno ya utangulizi (Words of introduction)
Waiyuuuu (Waiyuuu)
Solighi puliza, watu wacheze! (Solighi play so people will dance!)
Tumsifu Mungu wetu (Let’s praise our God)
Marwa puliza filimbi—eeeeh! (Marwa play the flute – eeeeh!)
Waambie watu Mungu amekuokoa, (Tell people God has saved you.)
umeacha uvutaji wa sigara, (You’ve stopped smoking cigarettes)
unamsifu Mungu. (you are praising God.)
aah ha-ha-ha uwi-yi-yi, (aah ha-ha-ha uwi-yi-yi)
Eeh Bwana. Watu wote sikilizeni habari za Yesu. (Eeh Lord. Everyone listen to the news about Jesus)
Baba yetu wa mbinguni ndiye mwenye nguvu. (Our Father in heaven is mighty.)

Verse 1 (Verse 1)
Eeh Mungu Baba ndiye mwenye nguvu x2 (Eeh Father God is mighty x2)
Kweli Yesu ndiye mwenye nguvu x3 (Truly Jesus is mighty x3)
Waliotangulia ni waongo (Those who came before are liars)
leo Yesu ndiye mwenye nguvu (today Jesus is mighty)
Wazee wa mila walitudanganya (The traditional elders deceived us)
Ila Yesu ndiye mwenye nguvu (but Jesus is mighty)
Wamama njooni tumsifu (Come women, let’s praise Him)
na wababa wote njooni tumsifu (and all men, come let’s praise Him)
Natangaza Yesu wetu ndiye mwenye nguvu (I’m announcing our Jesus is mighty)
Kweli Mungu ndiye mwenye nguvu (Truly God is mighty)
(Hakika Mungu Baba x2) ((Indeed Father God 2x))
Wachawi wanamjua ana nguvu (Witches know him that He is mighty)
kweli Yesu ana nguvu (truly Jesus is mighty)
Yesu wa mbinguni ni mwenye nguvu (Jesus of heaven is mighty)
Eeh Mungu Baba ni mwenye nguvu (Eeh Father God is mighty)
anaponya magonjwa yote (He heals all diseases)
wachawi wanamfahamu (Witches know Him)
waganga wanamfahamu (Witchdoctors know Him)
hakika Yesu ni mwenye nguvu (indeed Jesus is mighty)
Mwizi anamfahamu (thieves know Him)
hakika Yesu wetu ni mwenye nguvu (indeed Jesus is mighty)

Chorus (Chorus)
Hapa ni maneno yanayotamkwa wakati watu wakicheza. (These are words that are said when people are dancing.)

Uweiyaaah-Mungu mwenye nguvu (Uweiyaaah! God is mighty)
Mungu wa mbinguni ndiye mwenye nguvu (God of Heaven is mighty)
acha tumsifu ndiye msema kweli, (let’s praise Him who speaks truth)
anayeponya bure (He who heals freely)
Anaokoa bure (He saves freely)
hana laana (He has no curse)
wai-wai- wai-wai (wai-wai wai-wai)
hata wewe cheza (even you, dance)
Yesu amekuokoa (Jesus has saved you)
wadada mko wapi siwaoni! (Where you at sisters, I don’t see you!)
akina kaka sijasikia shangwe kwamba Yesu amewaokoa (brothers I haven’t heard your shouts that Jesus has saved you)
uweiyuuu – jamani (uweiyuu - guys)

Verse 2 (Verse 2)
Yesu wetu ndiye rafiki yetu x2 (Our Jesus is definitely our friend x2)
Baba wa mbinguni ndiye rafiki yetu (Father in heaven is definitely our friend)
watu wote tumsifu (everyone let’s praise Him)
Vijana wote njooni (Come all young people)
kweli Yesu ni rafiki yetu (truly Jesus is our friend)
Yesu ni mwokozi wetu (Jesus is our saviour)
Hatuna mwingine ila Yesu tu (We’ve got no one else except Jesus alone)
kweli Yesu ni mwokozi wetu (truly Jesus is our friend)
Yesu wa mbinguni ni mwokozi wetu (Jesus of heaven is or saviour)
watu wote njooni tumsifu (come everyone, let’s praise Him)

Chorus 2 (Chorus 2)
Uuwiii-Yesu ni mwenye nguvu (Uuwiii – Jesus is mighty)
wengine ni maneno (other people are words)
maneno matupu (empty words)
hata wewe beba mizigo yako (even you carry your burdens)
mpelekee Yesu atakusaidia (give them to Jesus, He will help you)
uwe umelogwa (even if you’ve been bewitched)
ukifika kwa Yesu (when you reach Jesus)
magonjwa yote (all diseases)
uwe umelaaniwa (even if you’ve been cursed)
Yesu atakuweka huru (Jesus will set you free)
eeeh- acha kuteseka duniani hapa (eeeh – stop suffering here in this world)
Yesu atakusaidia (Jesus will help you)
Hata huyu mama Yesu amemwokoa angeshakufa (Jesus saved that woman, she would have already died)
heee- u-hu huuwi- aah aah aah aah- (heee- u-hu huuwi- aah aah aah aah-)
hawa ambao hawajakimbilia kwa Yesu (people who have not run to Jesus)
wanaona aibu kumsifu (they’re embarrassed to praise Him)
ila tulio ndani ya Yesu tunacheza (but we who are in Jesus, we dance)
ametuokoa (He saved us)
--eeeh- (eeeh)
hata yule kaka alikuwa na mapepo (that brother who had spirits)
alipokuja kwa Yesu yameisha (when he came to Jesus, they were finished)
--eeh- waiyuuu (--eeh- waiyuuu)
hatuna mwingine kama Yesu (we don’t have anyone else like Jesus)
Hayupo wa kulingana na Yesu mwenye nguvu (No one can compare to mighty Jesus)
Wazee wa mila wanajua Yesu ana nguvu (Traditional elders they know Jesus is mighty)
maana anaeazidi (meaning that He surpasses them)
wamemsikia muda mrefu (they’ve heard about him for a long time)
hata sasa anaishi (even now He lives)
wewe unayemkataa Yesu (you who’ve refused Jesus)
ni lini umesikia hayupo (when was it you heard He’s not around)
ila babu zako walishakufa (although your fathers have already died?)
kimbia uje (hapo x9), (run, you should come (here x9))
acha ngoma ilie imsifu Mungu anayeishi (let that traditional music praise the God who lives)
hata wewe mzee unabaisha (even you elder you wonder)
lakini unaelewa Mungu anaishi (but you understand God lives)
lakini mganga wako alishakufa (but your witchdoctor has already died)
-uuwiii- chelewa mwenyewe (-uuwiii- be late yourself)
sisi tumekimbia (us, we’ve run to Him)
tumeachana na laana (we’ve left our curses)
mizigo ya bibi na babu tulishaiacha (we’ve already left behind the burdens of our grandparents)
- uwiii. (- uwiii.)

credits

released November 18, 2020
Produced by Kikumbo Sound
Funded by Artists in Christian Testimony International
Lilandi by Solighi
Flute and shaker by Marwa

license

all rights reserved

tags

about

Steven Chuchu Mara Region, Tanzania

This is me, Steven Chuchu, a gospel singer and songwriter for many years from Mara Region, Tanzania, East Africa. I write and sing songs in various languages especially Swahili, and Kuria. You are welcome here to taste a bit of Tanzania Gospel and maybe discover something new to you. Karibuni sana! ... more

contact / help

Contact Steven Chuchu

Streaming and
Download help

Report this track or account

If you like Steven Chuchu, you may also like: